Michezo Leo Tanzania
com.djmalogo.app2
FreeContains adsTeen
Launch numbers
10+Installs
n/aRating
Oct 5, 2026Released
Oct 19, 2026Updated
What it is
Habari za michezo, matokeo, video na taarifa mpya kila siku
Michezo Leo ni app ya kufuatilia habari na taarifa za michezo. Pata habari mpya, soma makala, tazama video na fuatilia matokeo na taarifa za timu na wachezaji.Kupitia app unaweza:• Kusoma habari za michezo• Kufuatilia matokeo na taarifa za mechi• Kutazama video za michezo• Kuweka alama ya kupenda na kutoa maoni• Kupokea arifa za machapisho mapyaBaadhi ya vipengele na video hutegemea upatikanaji wa mtandao na chanzo …