Darasa Langu
com.levelsprotech.darasalangu
FreeEveryone
Launch numbers
50+Installs
n/aRating
May 23, 2026Released
Sep 5, 2026Updated
What it is
App ya kidijitali kwa walimu kusimamia , wanafunzi, na matokeo kwa urahisi
Darasa Langu ApplicationDarasa Langu ni programu ya kisasa iliyoundwa mahsusi kwa walimu wa shule za msingi, sekondari, na kidato cha juu. Simamia shughuli zako zote za kufundisha mahali pamoja — bila msongo wa karatasi.✅ Usimamizi wa MadarasaUnda na simamia madarasa yako kwa urahisi. Ongeza wanafunzi, panga masomo, na fuatilia maendeleo ya kila darasa kwa ufanisi zaidi.📋 Mahudhurio ya WanafunziRekodi mahudhurio y…